Home » » TAARIFA KUHUSU HUKUMU ALIYOHUKUMIWA MMILIKI WA CLUB YA AC MILAN.

TAARIFA KUHUSU HUKUMU ALIYOHUKUMIWA MMILIKI WA CLUB YA AC MILAN.

Written By Yusha on Saturday, March 9, 2013 | 3:36 AM

.

 
.
Mmiliki wa club ya soka ya AC Milan ya Italia Silvio Berlusconi ambae pia aliwahi kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kuingilia mawasiliano ya simu ya mpinzani wake wa kisiasa pasipo kuwa na kibali.

Hii ni adhabu ya pili ya kifungo ambayo imempata Berlusconi baada ya ile ya kashfa ya fedha zisizo halali za kampuni yake ya filamu ambapo zaidi ya hapo anazo kesi nyingine mbili ikiwemo ya kufanya mapenzi na binti mwenye umri wa miaka 17, na pia kukwepa kulipa kodi.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. YUSHA THE HOOD - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger