Movie Category 1

About

celen

MAJANGAA

http://www.facebook.com/photo.php?fbid=172554002888240&set=t.100002004296803&type=3&src=http%3A%2F%2Fsphotos-g.ak.fbcdn.net%2Fhphotos-ak-ash3%2F47406_172554002888240_1331100059_n.jpg&size=240%2C240
Powered by Blogger.

About Me

My photo
I flowing through obstacles I use as a helper now finding success later.
Latest Post

TAARIFA KUHUSU HUKUMU ALIYOHUKUMIWA MMILIKI WA CLUB YA AC MILAN.

Written By Yusha on Saturday, March 9, 2013 | 3:36 AM

.

 
.
Mmiliki wa club ya soka ya AC Milan ya Italia Silvio Berlusconi ambae pia aliwahi kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kuingilia mawasiliano ya simu ya mpinzani wake wa kisiasa pasipo kuwa na kibali.

Hii ni adhabu ya pili ya kifungo ambayo imempata Berlusconi baada ya ile ya kashfa ya fedha zisizo halali za kampuni yake ya filamu ambapo zaidi ya hapo anazo kesi nyingine mbili ikiwemo ya kufanya mapenzi na binti mwenye umri wa miaka 17, na pia kukwepa kulipa kodi.

Hizi ndizo sababu 9 kwanini unatakiwa kufanya Sex mara kwa mara.

Written By Yusha on Tuesday, March 5, 2013 | 9:00 PM

Haiwahusiki walio chini ya Miaka 18|
Inaboresha afya ya Moyo na Mishipa ya Damu: Utafiti uliofanya hivikaribuni unaonyesha yakwamba wanaume wanaofanya mapenzi (Sex) mara mbili ndani ya juma (week) wanakuwa mbali na mashambulizi ya magonjwa ya moyo kuliko wanaume wanaofanya mapenzi maramoja kwa mwezi.

Kuongeza kinga mwilini: Kufanya mapenzi mara kwa mara, Inasaidia kukuza kinga mwilini hasa ya  immunoglobulin A (IgA), Ambayo inasidia kwenye kukuepusha na magonjwa ya homa na mwili kutetemeka kwa baridi.

Inapunguza stress: Je unamsongo wa mawazo ya kazi au matatizo ya familia? Basi suala hilo lisisababishe kushuka kiwangochako cha chumbani kwako. Utafiti unaonyesha pia sio tu watu wanao fanya mapenzi hupunguza stress bali kujishughulisha na mambo yote ya chumbani huleta Raha na kusababisha kusahau msongo wa mawazo unao kukabili.

Unawasi wasi na maumivu: Wakati mwingine unachukuwa hatuwa na kuumwa na kicha ili usifanye mapenzi, Lakini inasemekena yakwamba unapokuwa na hamu ya kufanya sex (Orgasm), hormone oxytocin inaongezeka zaidi mara 5. Na endorphin huwa inapunguza maumivu.

Inaongeza mda wa kuishi: Palemtu anapokuwa na mhemko (Orgasm), Kitaalamu inasemekana hormone inayoitwa dehydroepiandrosterone huachiliwa mwilini. Hii inaongeza kinga ya mwili, tishu na kufanya ngozi iwe na afya. Mwanamume mwenye Orgasm marambili kwa week, huweza kuishi maisha marefu kuliko mwenye orgasm maramoja kwa week.

Huongeza mzunguka wa damu kwa moyo: Kwasababu mapigo ya moyo wako huzidi wakati unafanya mapenzi. Fresh blood inakuwa inasambazwa kwenye Organs na Cells.Wakati huo damu iliyo tumika huondolewa na wakati huo huo mwili hu ondoa sumu iliyopo mwilini na hali iliyokuwa inakufanya uchoke.

Una lala vizuri/mnono: Usingizi unaoupata usiku baadaya ya kufanya sex unakuwa ni usingizi mwanana ambao unaweza kukupelekea ujihisi vizuri nakama unavyotambuwa kulala vyema nayo pia ni afya.

Inakufanya uwe fit: Kama umekuwa unaenda GM na kama umekuwa unafanya task mbali mbali ndani ya eneo la nyumbani kwako kama mazoezi uwe na shape nzuri, Basi hii nayo nimoja wapo y akitu kinachoweza kukufanya ukawa na good shape. Inasemekana zaidi ya calories 80 mhupunguwa wakati wa sex.

Huongeza viwango vya Oestrogen na testosterone: Homone testosterone imfanya mwanaume awezaidi passionate in the sack. Lakini sio tu kufanya uwe hot kitandani ila inasababisha uwe na mifupa mikakamavu na kuweka misuli vizuri. Lakini pia kwa wanawake Oestrogen huwasaidia kujiepusha na magonjwa ya Moyo na kunuka harufu mbaya.

NOTE: Usifanye ngono isiyo salama, Usisahau kutumia kinga na usifanye ngono kabla ya umri husika.

back

Written By Yusha on Sunday, March 3, 2013 | 10:22 AM


Back


Photos.

Picha.







Actress Jackline Wolper

Written By Yusha on Sunday, February 3, 2013 | 11:19 AM

Actress Jackline Wolper amefichua siri nzito ya urembo wake kwa kitu kinachomfanya aendelee kuonekana kuwa mrembo na kubaki na mvuto wake wa asili Akizungumza na theHOODunfotainment Wolper alijikuta akiweka wazi anachokifanya ili kuendelea kubaki na urembo wake huo huku akisisitiza kuwa mazoezi ya viungo vya mwili na kutokunywa bia ni siri kubwa ya urembo wake Wolper hakusita kuweka wazi kuwa yeye ni mtu wa kula mbogamboga,samaki, maziwa na matunda kwa wingi huku akipata muda wa kupumzika ili kujenga mwili wake bila ya kusahau kunywa maji kwa wingi kwani hayo yanamfanya ngozi yake iendelee kuwa yenye mvuto Wolper alisisitiza kuwa katika maisha yake hutumia kula nyama nyeupe na kuepuka nyama nyekundu ili aendelee kubaki hivyo alivyo kuepuka kuwa mnene na kutoka kitambi kama baadhi ya wanawake wengine wanavyokuwa 
 
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. YUSHA THE HOOD - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger