Haiwahusiki walio chini ya
Miaka 18|
Inaboresha afya ya Moyo na Mishipa ya Damu: Utafiti uliofanya
hivikaribuni unaonyesha yakwamba wanaume wanaofanya mapenzi (Sex) mara
mbili ndani ya juma (week) wanakuwa mbali na mashambulizi ya magonjwa ya
moyo kuliko wanaume wanaofanya mapenzi maramoja kwa mwezi.
Kuongeza kinga mwilini: Kufanya mapenzi mara kwa mara, Inasaidia
kukuza kinga mwilini hasa ya immunoglobulin A (IgA), Ambayo inasidia
kwenye kukuepusha na magonjwa ya homa na mwili kutetemeka kwa baridi.
Inapunguza stress:
Je unamsongo wa mawazo ya kazi au matatizo ya familia? Basi suala hilo
lisisababishe kushuka kiwangochako cha chumbani kwako. Utafiti
unaonyesha pia sio tu watu wanao fanya mapenzi hupunguza stress bali
kujishughulisha na mambo yote ya chumbani huleta Raha na kusababisha
kusahau msongo wa mawazo unao kukabili.
Unawasi wasi na maumivu:
Wakati mwingine unachukuwa hatuwa na kuumwa na kicha ili usifanye
mapenzi, Lakini inasemekena yakwamba unapokuwa na hamu ya kufanya sex
(Orgasm), hormone oxytocin inaongezeka zaidi mara 5. Na endorphin huwa
inapunguza maumivu.
Inaongeza mda wa kuishi:
Palemtu anapokuwa na mhemko (Orgasm), Kitaalamu inasemekana hormone
inayoitwa dehydroepiandrosterone huachiliwa mwilini. Hii inaongeza kinga
ya mwili, tishu na kufanya ngozi iwe na afya. Mwanamume mwenye Orgasm
marambili kwa week, huweza kuishi maisha marefu kuliko mwenye orgasm
maramoja kwa week.
Huongeza mzunguka wa damu kwa moyo:
Kwasababu mapigo ya moyo wako huzidi wakati unafanya mapenzi. Fresh
blood inakuwa inasambazwa kwenye Organs na Cells.Wakati huo damu iliyo
tumika huondolewa na wakati huo huo mwili hu ondoa sumu iliyopo mwilini
na hali iliyokuwa inakufanya uchoke.
Una lala vizuri/mnono:
Usingizi unaoupata usiku baadaya ya kufanya sex unakuwa ni usingizi
mwanana ambao unaweza kukupelekea ujihisi vizuri nakama unavyotambuwa
kulala vyema nayo pia ni afya.
Inakufanya uwe fit: Kama umekuwa unaenda GM na kama umekuwa
unafanya task mbali mbali ndani ya eneo la nyumbani kwako kama mazoezi
uwe na shape nzuri, Basi hii nayo nimoja wapo y akitu kinachoweza
kukufanya ukawa na good shape. Inasemekana zaidi ya calories 80
mhupunguwa wakati wa sex.
Huongeza viwango vya Oestrogen na testosterone:
Homone testosterone imfanya mwanaume awezaidi passionate in the sack.
Lakini sio tu kufanya uwe hot kitandani ila inasababisha uwe na mifupa
mikakamavu na kuweka misuli vizuri. Lakini pia kwa wanawake Oestrogen huwasaidia kujiepusha na magonjwa ya Moyo na kunuka harufu mbaya.
NOTE: Usifanye ngono isiyo salama, Usisahau kutumia kinga na usifanye ngono kabla ya umri husika.